Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Showing posts with the label Yanga

Dili la Msuva Kutua Yanga Baba Yake Afunguka Ukweli

Kumekua na tetesi nyingi kuhusu Simon Msuva nyota wa zamani wa Yanga, Akihusishwa na kujiunga na Klabu ya Yanga Sc. Taarifa zilizopo ni kwamba mzazi wa Msuva amesema tetesi za msuva kwenda yanga ye…
Post a Comment

Bao la Kwanza la Yanga dhidi ya KMC Ilikua Faulo

"Ushindi wa jana wa Yanga 70% percent umetokana na makosa ya KMC, na Ubora wa Yanga ni kwa 30% percent" "KMC walikuwa na poor defending, tazama Aziz Ki alikuwa hakabwi vya kutosha.. …
Post a Comment

Yanga Vs KMC - Highlights ya Magoli Yote

Dakika 45 za burudani zilimalizika katika dimba la Azam Complex, Chamazi, Wananchi wanaupiga mwingi mpaka unamwagika. HT: Yanga SC 1-0 KMC FC ⚽ Job 17' Ni katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanza…
Post a Comment

Ratiba Ya Mechi za Leo NBC Premier League - 23/08/2023

Yanga Vs KMC Live 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛𝗗𝗔𝗬🔰 🏆 NBC Premier League  ⚽️ Young Africans SC Vs KMC FC 📆 23.08.2023 🏟 Azam Complex, Chamazi 🕖 1:00 Usiku  Kuelekea Mechi Yetu v KMC Kwenye Head To Head Tangu …
Post a Comment

Siri Ya Yanga na Bruno Ngomezi Yavuja

BRUNO Gomez, ni mingoni mwa wachezaji ambao wapenzi wa Yanga  walitamani kumuona kikosini mwao  msimu huu, chanzo changu ndani ya Singida  FG, kimefunguka kuwa pamoja na watu wa Yanga kumtamani Bru…
Post a Comment

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao

🚨 OFFICIAL & CONFIRMED: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja. Yao (26) 🇮🇪 anahesabika kuwa beki bora…
Post a Comment

Jezi Mpya Za Yanga Msimu Mpya Wa 2023/2024

Kama Ulikua hujaziona jezi mpya za Yanga SC hizi ndio zenyewe.  Mbunifu wa jezi ya Nyeusi ya Yanga SC kwa msimu huu ameeleza maana ya jezi hiyo huku akijikita kwenye Michoro iliyopo, ameeleza kua; Je…
Post a Comment

Breaking: Ukweli Kuhusu Mayele Na Yanga SC

Fahamu ukweli kuhusu mayele kuondoka Yanga Sc Mayele mwenye mkataba wa mwaka mmoja na Yanga amegoma kusaini mkataba mpya ambao ungemfanya awe analipwa pesa ndefu kuliko mchezaji yeyote ndani ya tim…
Post a Comment

TANZIA: MWANA YANGA WAFARIKI

Yanga Wametoa Taarifa ya Shabiki aliyefariki katika ajali.

Wana Yanga Sc Wapata Ajali Leo

Taarifa Kutoka klabu ya Yanga Inasema, "Kuna taarifa za Ajali maeneo ya Msata kwa Mashabiki wetu waliokuwa wakisafiri kuja Arusha kutazama mechi ya kesho.  Tunaendelea kufuatilia kwa karibu, t…

Machi Ya Coastal Union 🆚 Young Africans SC

𝗡𝗘𝗫𝗧 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛🔰 ⚽️Coastal Union 🆚 Young Africans SC 🗓 20 Agosti 2022 ⏱ 10:00 Jioni  🏟 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid  🏆 #LigiKuu   #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

Full Time: Yanga Sc Vs Polisi Tanzaniq

Clabu ya Yanga imeifunga timu ya Polisi Tanzania Ambapo Yanga Imeifunga Magoli Mawili Huku Polisi Tanzania Wakifunga Goli moja  Mchezo umefanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid POLISI TZ 1-2 YANG…

YANGA YASAJILI MCHEZAJI KUTOKA BRAZIL

YANGA YASAJILI MCHEZAJI KUTOKA BRAZIL Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na klabu ya Singida Big Stars juu ya kubadilishana wachezaji Mbrazil Dario Federico Da'Silva JR na Jesus Moloko. Mbrazil …

MANARA, "NIMEINGIA KAMA MC WALA SIJIHUSISHI NA MPIRA"

MANARA, "NIMEINGIA KAMA MC WALA SIJIHUSISHI NA MPIRA" Aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Manara amesema ameshiriki kwenye Siku ya Mwananchi kama mshereheshaji (MC) na sio kama mhamasishaji.…

FULL TIME: YANGA SC 0-2 VIPERS FC

FULL TIME: YANGA SC 0-2 VIPERS FC 🏟️ Benjamin Mkapa YANGA SC 0-2 VIPERS FC ⚽ Karisa 1' ⚽ Anukani 65' Shughuli imemalizika katika dimba la Benjamin Mkapa, Vipers wameharibu siku ya MWANANCHI …

Moriso Ashtukiwa, Apewa Siku 14

BERNARD Morrison ameanza kazi rasmi Yanga na leo akiingia siku ya nne mazoezini, lakini kocha mmoja fundi wa mazoezi ameshtukia kitu kwa winga huyo Mghana kisha akamtengea siku 14 za kazi nzito. Ko…

Yanga Yapata Mamilioni Mengine kutoka CRDB

Clabu ya Yanga Fc Imepata Milioni 25 kutoka kwa Wadhamini wa Wiki ya Yang CRDB "CRDB Bank imechagua Klabu Kubwa💪🏽🔰 @crdbbankplc ➕ 𝗪𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝟮𝟬𝟮𝟮 “𝘉𝘺𝘶𝘵𝘪𝘉𝘺𝘶…

Kocha wa Yanga Nabi Agombaniwa

TETESI: Klabu ya FAR Rabat ya Morocco inamtaka Kocha Yanga SC Nasreddine Nabi kwa ajili kuchukua mikoba ya Sven Vandenbroeck klabuni hapo. Miamba hiyo ya Morocco ipo tayari kumlipa kocha huyo raia wa…

Yanga Yachagua Meneja na Viongozi Wengine Wapya

Raisi wa clabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said Kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya Yanga imewateua Saada Kawemba Kuwa Mkurugenzi wa Mashindano na Walter  Harson Kuwa Meneja wa Timu.  Tazama Taari…

USAJILI: MCHEZAJI WA YANGA ASAINI MKATABA MPAKA 2024

Mlinzi wa klabu ya Yanga SC Djuma Shabani (29) raia wa DR Congo amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Mabingwa hao wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara mpaka 2024.

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter