Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Showing posts with the label tetesi za usajili

Simba Kufanya Usajili Wa Zimamoto

CHANZO makini kutoka ndani ya Simba kimendokeza kwamba Simba inatarajia kufanya usajili wa ghafla, chanzo hicho kimeeleza sababu ambazo zimewashawishi benchi la Ufundi la Simba kufanya usajili wa k…
Post a Comment

Yanga Yanasa Saini Ya Kiungo Mwingine

Yanga Yanasa Saini Ya Kiungo Mwingine Klabu ya  Yanga SC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo Pacôme Zouzoua raia wa Ivory coast Kutoka Asec mimosas. Pacôme Zouzoua amewasili leo asubuhi nchini Tanz…
Post a Comment

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao

🚨 OFFICIAL & CONFIRMED: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja. Yao (26) 🇮🇪 anahesabika kuwa beki bora…
Post a Comment

Klabu Ya Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma.

... || BREAKING Klabu Ya  Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma. Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma kutoka kwa vigogo wa Sudan, Al Hilal Omdurman…
Post a Comment

Al Hilal Yawashitaki Wachezaji Wanaotajwa Simba SC Azam FC

Al Hilal Wamewashitaki wachezaji watatu waliovunja mkataba ka klabu hiyo bila kufuata utaratibu. Wachezaji waliositisha mikataba hiyo ni Fabrice Ngoma anayehusishwa Simba, Lamin Jarjou akitajwa Azam …
Post a Comment

Mchezaji Aliyesajiliwa Simba Sc ni Mauzauza

Ngoma Siyo kiwango cha simba sc, ni kama Sawadogo tu. "Kwa kiwango cha Fabrice Ngoma na malengo ya Simba nadhani pale wamezika tu pesa zao kama ilivyokuwa kwa Sawadogo,nadhani Simba wangetafut…
Post a Comment

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter