Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Showing posts with the label Usajili

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao

🚨 OFFICIAL & CONFIRMED: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja. Yao (26) 🇮🇪 anahesabika kuwa beki bora…
Post a Comment

Klabu Ya Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma.

... || BREAKING Klabu Ya  Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma. Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma kutoka kwa vigogo wa Sudan, Al Hilal Omdurman…
Post a Comment

Klabu ya Yanga SC imemnunua winga wa AS Maniema, Maxi Mpia Nzengeli

Usajili Yanga SC ◉ Klabu ya Yanga SC imemnunua winga wa AS Maniema, Maxi Mpia Nzengeli (23) kwa USD $ 165,214 (Tsh 400 Million) ◉ Amesaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga  ◉ Maxi …
Post a Comment

Mchezaji Aliyesajiliwa Simba Sc ni Mauzauza

Ngoma Siyo kiwango cha simba sc, ni kama Sawadogo tu. "Kwa kiwango cha Fabrice Ngoma na malengo ya Simba nadhani pale wamezika tu pesa zao kama ilivyokuwa kwa Sawadogo,nadhani Simba wangetafut…
Post a Comment

USAJILI: MCHEZAJI WA YANGA ASAINI MKATABA MPAKA 2024

Mlinzi wa klabu ya Yanga SC Djuma Shabani (29) raia wa DR Congo amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Mabingwa hao wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara mpaka 2024.

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter