Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Showing posts with the label Yanga

Dili la Msuva Kutua Yanga Baba Yake Afunguka Ukweli

Kumekua na tetesi nyingi kuhusu Simon Msuva nyota wa zamani wa Yanga, Akihusishwa na kujiunga na Klabu ya Yanga Sc. Taarifa zilizopo ni kwamba mzazi wa Msuva amesema tetesi za msuva kwenda yanga ye…
Post a Comment

Bao la Kwanza la Yanga dhidi ya KMC Ilikua Faulo

"Ushindi wa jana wa Yanga 70% percent umetokana na makosa ya KMC, na Ubora wa Yanga ni kwa 30% percent" "KMC walikuwa na poor defending, tazama Aziz Ki alikuwa hakabwi vya kutosha.. …
Post a Comment

Yanga Vs KMC - Highlights ya Magoli Yote

Dakika 45 za burudani zilimalizika katika dimba la Azam Complex, Chamazi, Wananchi wanaupiga mwingi mpaka unamwagika. HT: Yanga SC 1-0 KMC FC ⚽ Job 17' Ni katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanza…
Post a Comment

Ratiba Ya Mechi za Leo NBC Premier League - 23/08/2023

Yanga Vs KMC Live 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛𝗗𝗔𝗬🔰 🏆 NBC Premier League  ⚽️ Young Africans SC Vs KMC FC 📆 23.08.2023 🏟 Azam Complex, Chamazi 🕖 1:00 Usiku  Kuelekea Mechi Yetu v KMC Kwenye Head To Head Tangu …
Post a Comment

Siri Ya Yanga na Bruno Ngomezi Yavuja

BRUNO Gomez, ni mingoni mwa wachezaji ambao wapenzi wa Yanga  walitamani kumuona kikosini mwao  msimu huu, chanzo changu ndani ya Singida  FG, kimefunguka kuwa pamoja na watu wa Yanga kumtamani Bru…
Post a Comment

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao

🚨 OFFICIAL & CONFIRMED: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja. Yao (26) 🇮🇪 anahesabika kuwa beki bora…
Post a Comment

Jezi Mpya Za Yanga Msimu Mpya Wa 2023/2024

Kama Ulikua hujaziona jezi mpya za Yanga SC hizi ndio zenyewe.  Mbunifu wa jezi ya Nyeusi ya Yanga SC kwa msimu huu ameeleza maana ya jezi hiyo huku akijikita kwenye Michoro iliyopo, ameeleza kua; Je…
Post a Comment

Breaking: Ukweli Kuhusu Mayele Na Yanga SC

Fahamu ukweli kuhusu mayele kuondoka Yanga Sc Mayele mwenye mkataba wa mwaka mmoja na Yanga amegoma kusaini mkataba mpya ambao ungemfanya awe analipwa pesa ndefu kuliko mchezaji yeyote ndani ya tim…
Post a Comment

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter