Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Showing posts with the label news

MENEJA UWANJA WA MKAPA AONDOLEWA

TAARIFA: Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo, Agosti 9, 2022 amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Dkt, Hassan Abbasi kumpangia majukumu mengi…

Simba Alamba Dili Juu Ya Dili

"CRDB ni official Simba Day partner." "CRDB wameona ni muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua Simba sababu wanaona ukubwa wa Simba." "Tunawashukuru CRBD kuwekeza kweny…

Yanga Yachagua Meneja na Viongozi Wengine Wapya

Raisi wa clabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said Kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya Yanga imewateua Saada Kawemba Kuwa Mkurugenzi wa Mashindano na Walter  Harson Kuwa Meneja wa Timu.  Tazama Taari…

Sakho Avunja Ukimya, Afunguka Kuhusu Simba

Ikiwa imepita kama wiki tangu kiungo mshambuliaji wa Simba, Pape Sakho atwae tuzo ya Bao Bora kwenye michuano ya Caf. Bao la Sakho liliingia kwenye kinyang’anyiro cha michuano ya Kombe la Shirikisho …

Uzinduzi wa Jezi Ya Simba, Itatengenezwa Ulaya Siyo Asia

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaz Mangungu amesema jezi za timu hiyo msimu wa 2022/23 zitazinduliwa wiki hii na zitatengezwa Ulaya badala ya Asia.

BONDIA MANDONGA APIGWA

BONDIA MANDONGA APIGWA KWA KO Bondia Karim Mandonga amepoteza dhidi ya Shabani Kaoneka, Raundi ya 4 kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea Baada ya pambano Mandonga amesema: "Ni ajali kazini lakini n…

MMOJA AONDOKA YANGA, WAKILI SIMON PATRICK AKABIDHIWA MIKOBA

TAARIFA: Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Yanga imefanya Kikao Chake cha Kwanza cha Kikatiba leo Jumamosi Tarehe 30 Julai 2022, Serena Hotel jijini Dar es salaam chini ya Uenyekiti wa Rais wa Klabu Eng…

Mtanzania Ashinda Medali Uingereza

Mtanzania Alphonce Simbu Ashinda Medali ya Shaba Commonwealth Marathon inatofanyika huko Birmingham, Uingereza. Simbu wa Tanzania Amekuwa mshindi wa Pili katika Mbio za marathon - ameshinda medali …

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter