Diamond Platumz Atanga Kudhamini Mashindano na Wasafibet
Mkurugenzi wa WASAFI BET Diamond Platnumz, ametangaza kudhamini Mashindano ya mpira wa miguu ya Ndondo CUP kupitia Kampuni yake ya michezo ya kubashiri ya WASAFI BET. Ndondo Cup ni bidhaa ya Clouds M…