Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Simba Kufanya Usajili Wa Zimamoto

Post a Comment

 


CHANZO makini kutoka ndani ya Simba kimendokeza kwamba Simba inatarajia kufanya usajili wa ghafla, chanzo hicho kimeeleza sababu ambazo zimewashawishi benchi la Ufundi la Simba kufanya usajili wa kushtukiza wa nyota wa zamani wa Azam na Taifa Stars, Shaaban Chilunda.


Jambo la kwanza lilioishawishi Simba kumsajili hofu ya majeraha hasa Bocco na Moses Phiri ambayo msimu uliopita yalichangia wakose idadi kubwa ya mechi na hivyo wanaamini kama huyu atakuwa fiti anaweza kuziba. Jambo la pili ni uzoefu alionao wa mashindano ya ndani na mazingira ya soka la Tanzania ambao ameupata kwa kucheza muda mrefu Azam.

Related Posts

Post a Comment

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter