Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Yanga Yanasa Saini Ya Kiungo Mwingine

Post a Comment

 


Yanga Yanasa Saini Ya Kiungo Mwingine

Klabu ya  Yanga SC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo Pacôme Zouzoua raia wa Ivory coast Kutoka Asec mimosas.


Pacôme Zouzoua amewasili leo asubuhi nchini Tanzania kutokea Ivory coast akiwa na wakala wake, Wameshakamilisha zoezi la kusaini mkataba mchana huu salamander tower.


Taarifa za ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa mchezaji huyo anatarajiwa kupewa namba 10

Related Posts

Post a Comment

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter