Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Showing posts with the label Simba SC

Al Hilal Yawashitaki Wachezaji Wanaotajwa Simba SC Azam FC

Al Hilal Wamewashitaki wachezaji watatu waliovunja mkataba ka klabu hiyo bila kufuata utaratibu. Wachezaji waliositisha mikataba hiyo ni Fabrice Ngoma anayehusishwa Simba, Lamin Jarjou akitajwa Azam …
Post a Comment

Mchezaji Aliyesajiliwa Simba Sc ni Mauzauza

Ngoma Siyo kiwango cha simba sc, ni kama Sawadogo tu. "Kwa kiwango cha Fabrice Ngoma na malengo ya Simba nadhani pale wamezika tu pesa zao kama ilivyokuwa kwa Sawadogo,nadhani Simba wangetafut…
Post a Comment

mechi za simba club bingwa 2023

mechi za simba club bingwa 2023  Ijumaa hii mnyama @simbasctanzania atakuwa dimba la Mohammed V nchini Morocco kukipiga na Wydad Casablanca katika mechi ya mkondo wa pili robo fainali Ligi ya Mabingw…

Timu ya Simba SC Ikiwasili Casablanca

Matukio katika Picha

Soka: Wachezaji 9 Wa Simba SC 9️⃣ wameitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars

Wachezaji wetu 9️⃣ wameitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars 🇹🇿 kujiandaa na michezo ya kufuzu CHAN. ▪️ Aishi Manula ▪️ Beno Kakolanya ▪️ Shomari Kapombe ▪️ Mohamed Hussein ▪️ Kennedy Juma ▪️ Jonas M…

Mpole, Sitofahamu Chezo wa Simba Sc Vs Geita Gold

Kuelekea mchezo wa kesho kati ya Geita Gold na Simba SC, Geita Gold ipo kwenye sintofahamu juu ya mshambuliaji George Mpole ambaye hayupo kambini na amethibitisha kuwa ana ofa kutoka nje ya Nchi anaz…

Manara Avamia Kambi Ya Simba.

Afisa Muhamasishaji wa Yanga Haji Manara ambaye anatumikia adhabu ya kufungiwa miaka miwili na Shirikisho la soka nchini TFF, leo ameonekana City Lounge Hotel ambako inasemekana Simba imeweka kambi k…

Simba Day: Hali Ilivyo Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kutoka majukwaa ya Benjamin Mkapa Stadium #SimbaDay2022

𝗡𝗬𝗢𝗧𝗔 𝗪𝗔 𝗭𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔

𝗡𝗬𝗢𝗧𝗔 𝗪𝗔 𝗭𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔 #TANZIA: Nyota wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya) amefariki usiku wa kumkia leo Agosti 8, 2022 katika H…

CAF YATOA RATIBA YA LIGI 2022/23

CAF YATOA RATIBA YA LIGI 2022 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya timu zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu wa 2022/23 huku Tanzania 🇹🇿 ikiwakilishwa n…

Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili Dejan Georgijevic

Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili Dejan Georgijevic Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili mshambuliaji wa Kimataifa wa Serbia, Dejan Georgijevic kutoka klabu ya NK Domzale. Georgijevic (28) a…

Simba Yauza Jezi Zote, Wengine wakosa

Simba Yauza Jezi Zote, Wengine wakosa "🚨 Jezi zote ambazo zililetwa awamu ya kwanza zimekwisha. Mzigo mpya utakuwepo madukani ndani ya siku mbili zijazo. #SimbaNaVunjaBei #SimbaWeek #SimbaDay …

Hizi Hapa Jezi Mpya Za Simba SC 2022/23

Hizi Hapa Jezi Mpya Za Simba SC 2022/23

UKWELI KUSU JEZI ZA SIMBA KUKWAMA BANDARINI KISA UBORA

UKWELI KUSU JEZI ZA SIMBA KUKWAMA BANDARINI KISA UBORA Huenda Mashabiki wa Klabu ya Simba wakakosa nafasi ya kuwa na Jezi maalum wakati wa Tamasha la Simba ‘Simba Day’ siku ya Jumatatu ‘Agosti 08’…

Waarabu wamuwekea Sakho milioni 800

Waarabu wamuwekea Sakho milioni 800   KLABU ya wananchi ya Raja Athletic ya Morocco iko katika hesabu kali ikipigania saini ya winga wa Simba, Pape Sakho na fedha ambayo wameitaja kupata saini hiyo…

Simba Alamba Dili Juu Ya Dili

"CRDB ni official Simba Day partner." "CRDB wameona ni muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua Simba sababu wanaona ukubwa wa Simba." "Tunawashukuru CRBD kuwekeza kweny…

Kocha Wa Simba Ashabikia Suala la Ratiba Ligi Kuu

Kocha wa Simba, Zoran Maki amesema ratiba ya Ligi Kuu Bara imekuwa rafiki kwao kutokana na kucheza mechi tatu za kwanza katika uwanja wa nyumbani ambao upo na mazingira mazuri haswa eneo la kucheze…

FT: Simba Sc Vs Al-Kholood - Simba Yapata Ushindi

Kikosi cha Simba kimecheza mechi ya mwisho ya kirafiki nchini Misri leo dhidi ya Al-Kholood kutoka Saudi Arabia na kushinda mabao 2-0 yakifungwa na Gadiel Michael na Augustine Okrah. Timu hiyo inatar…

SIMBA YAPATA MABILIONI KUTOKA M-BET

Sehemu Ya Maelezo ya Mkurugenzi wa masoko M-Bet, "M-Bet ni kampuni namba moja ya michezo ya kubashiriki sasa tunashirikiana na klabu namba moja Tanzania." "Tunaamini kama M-Bet tukis…

Simba Sc Kucheza na Al-Kholood Misri

Klabu Simba imethibitisha kuwa itacheza mchezo wake wa nne wa kirafiki Mjini Ismailia, Misri dhidi ya klabu ya Al-Kholood. Simba SC imecheza mechi tatu za kirafiki mpaka sasa Nchini Misri ikishinda m…

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter