Showing posts with the label
Soka
Yanga Yanasa Saini Ya Kiungo Mwingine Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo Pacôme Zouzoua raia wa Ivory coast Kutoka Asec mimosas. Pacôme Zouzoua amewasili leo asubuhi nchini Tanz…
🚨 OFFICIAL & CONFIRMED: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja. Yao (26) 🇮🇪 anahesabika kuwa beki bora…
... || BREAKING Klabu Ya Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma. Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma kutoka kwa vigogo wa Sudan, Al Hilal Omdurman…
Usajili Yanga SC ◉ Klabu ya Yanga SC imemnunua winga wa AS Maniema, Maxi Mpia Nzengeli (23) kwa USD $ 165,214 (Tsh 400 Million) ◉ Amesaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga ◉ Maxi …
Kama Ulikua hujaziona jezi mpya za Yanga SC hizi ndio zenyewe. Mbunifu wa jezi ya Nyeusi ya Yanga SC kwa msimu huu ameeleza maana ya jezi hiyo huku akijikita kwenye Michoro iliyopo, ameeleza kua; Je…
Fahamu ukweli kuhusu mayele kuondoka Yanga Sc Mayele mwenye mkataba wa mwaka mmoja na Yanga amegoma kusaini mkataba mpya ambao ungemfanya awe analipwa pesa ndefu kuliko mchezaji yeyote ndani ya tim…
Al Hilal Wamewashitaki wachezaji watatu waliovunja mkataba ka klabu hiyo bila kufuata utaratibu. Wachezaji waliositisha mikataba hiyo ni Fabrice Ngoma anayehusishwa Simba, Lamin Jarjou akitajwa Azam …
Ngoma Siyo kiwango cha simba sc, ni kama Sawadogo tu. "Kwa kiwango cha Fabrice Ngoma na malengo ya Simba nadhani pale wamezika tu pesa zao kama ilivyokuwa kwa Sawadogo,nadhani Simba wangetafut…