Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Showing posts with the label Football

Jezi Mpya Za Yanga Msimu Mpya Wa 2023/2024

Kama Ulikua hujaziona jezi mpya za Yanga SC hizi ndio zenyewe.  Mbunifu wa jezi ya Nyeusi ya Yanga SC kwa msimu huu ameeleza maana ya jezi hiyo huku akijikita kwenye Michoro iliyopo, ameeleza kua; Je…
Post a Comment

Man City Vs Arsenal Highlights

#EPL Dakika za mwisho kabisa Haaland anaimaliza mechi kwa kuwapachikia Man City goli la 4 dhidi ya Arsenal.  Man City 4-1 Arsenal De Bruyne 7',54'  J.Stones 45+2 Holding 86'  Haaland 90…

Timu ya Simba SC Ikiwasili Casablanca

Matukio katika Picha

Diamond Platumz Atanga Kudhamini Mashindano na Wasafibet

Mkurugenzi wa WASAFI BET Diamond Platnumz, ametangaza kudhamini Mashindano ya mpira wa miguu ya Ndondo CUP kupitia Kampuni yake ya michezo ya kubashiri ya WASAFI BET. Ndondo Cup ni bidhaa ya Clouds M…

Manara Avamia Kambi Ya Simba.

Afisa Muhamasishaji wa Yanga Haji Manara ambaye anatumikia adhabu ya kufungiwa miaka miwili na Shirikisho la soka nchini TFF, leo ameonekana City Lounge Hotel ambako inasemekana Simba imeweka kambi k…

MENEJA UWANJA WA MKAPA AONDOLEWA

TAARIFA: Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo, Agosti 9, 2022 amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Dkt, Hassan Abbasi kumpangia majukumu mengi…

YANGA YASAJILI MCHEZAJI KUTOKA BRAZIL

YANGA YASAJILI MCHEZAJI KUTOKA BRAZIL Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na klabu ya Singida Big Stars juu ya kubadilishana wachezaji Mbrazil Dario Federico Da'Silva JR na Jesus Moloko. Mbrazil …

𝗡𝗬𝗢𝗧𝗔 𝗪𝗔 𝗭𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔

𝗡𝗬𝗢𝗧𝗔 𝗪𝗔 𝗭𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔 #TANZIA: Nyota wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya) amefariki usiku wa kumkia leo Agosti 8, 2022 katika H…

FULL TIME: London Stadium West Ham Utd VS Man City

FULL TIME: #EPL 🏟️ London Stadium West Ham Utd 0-2 Man City ⚽⚽ Haaland (P) 36' 65'  Mabingwa watetezi wa ligi kuu England, Man City wameanza vyema kampeni za kutafuta ubingwa wa tatu mfululi…

Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili Dejan Georgijevic

Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili Dejan Georgijevic Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili mshambuliaji wa Kimataifa wa Serbia, Dejan Georgijevic kutoka klabu ya NK Domzale. Georgijevic (28) a…

Simba Yauza Jezi Zote, Wengine wakosa

Simba Yauza Jezi Zote, Wengine wakosa "🚨 Jezi zote ambazo zililetwa awamu ya kwanza zimekwisha. Mzigo mpya utakuwepo madukani ndani ya siku mbili zijazo. #SimbaNaVunjaBei #SimbaWeek #SimbaDay …

TETESI: MAN. UNITED YAGEUKA KWA LEROY SANE

TETESI: MAN. UNITED YAGEUKA KWA LEROY SANE Manchester United inataka kumsajili Winga wa Bayern Munich, Leroy Sane na imeanza mazungumzo na Bayern Sane ambaye amewahi kuichezea Man. City ana mkatab…

Hizi Hapa Jezi Mpya Za Simba SC 2022/23

Hizi Hapa Jezi Mpya Za Simba SC 2022/23

MANARA, "NIMEINGIA KAMA MC WALA SIJIHUSISHI NA MPIRA"

MANARA, "NIMEINGIA KAMA MC WALA SIJIHUSISHI NA MPIRA" Aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Manara amesema ameshiriki kwenye Siku ya Mwananchi kama mshereheshaji (MC) na sio kama mhamasishaji.…

Manara na Raisi wa Yanga Kukiona Cha Moto TFF.

Manara na Raisi wa Yanga Kukiona Cha Moto TFF. TAARIFA: Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said na aliyek…

FULL TIME: YANGA SC 0-2 VIPERS FC

FULL TIME: YANGA SC 0-2 VIPERS FC 🏟️ Benjamin Mkapa YANGA SC 0-2 VIPERS FC ⚽ Karisa 1' ⚽ Anukani 65' Shughuli imemalizika katika dimba la Benjamin Mkapa, Vipers wameharibu siku ya MWANANCHI …

UKWELI KUSU JEZI ZA SIMBA KUKWAMA BANDARINI KISA UBORA

UKWELI KUSU JEZI ZA SIMBA KUKWAMA BANDARINI KISA UBORA Huenda Mashabiki wa Klabu ya Simba wakakosa nafasi ya kuwa na Jezi maalum wakati wa Tamasha la Simba ‘Simba Day’ siku ya Jumatatu ‘Agosti 08’…

Waarabu wamuwekea Sakho milioni 800

Waarabu wamuwekea Sakho milioni 800   KLABU ya wananchi ya Raja Athletic ya Morocco iko katika hesabu kali ikipigania saini ya winga wa Simba, Pape Sakho na fedha ambayo wameitaja kupata saini hiyo…

BAYERN MUNICH VS EINTRACHT FRANKFURT

BAYERN MUNICH VS EINTRACHT FRANKFURT  FULL TIME: #Bundesliga 🏟️ Deutsche Bank Park EINTRACHT FRANKFURT 1-6 BAYERN MUNICH ⚽️ Joshua Kimmich 4' H ⚽️ Benjamin Pavard 10' ⚽️ Sadio Mane 29' ⚽…

Moriso Ashtukiwa, Apewa Siku 14

BERNARD Morrison ameanza kazi rasmi Yanga na leo akiingia siku ya nne mazoezini, lakini kocha mmoja fundi wa mazoezi ameshtukia kitu kwa winga huyo Mghana kisha akamtengea siku 14 za kazi nzito. Ko…

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter