Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

BAYERN MUNICH VS EINTRACHT FRANKFURT

BAYERN MUNICH VS EINTRACHT FRANKFURT  FULL TIME: #Bundesliga 🏟️ Deutsche Bank Park EINTRACHT FRANKFURT 1-6 BAYERN MUNICH ⚽️ Joshua Kimmich 4' H ⚽️ Benjamin Pavard 10' ⚽️ Sadio Mane 29' ⚽…

Moriso Ashtukiwa, Apewa Siku 14

BERNARD Morrison ameanza kazi rasmi Yanga na leo akiingia siku ya nne mazoezini, lakini kocha mmoja fundi wa mazoezi ameshtukia kitu kwa winga huyo Mghana kisha akamtengea siku 14 za kazi nzito. Ko…

Simba Sc Parting With Three Players

Our Soccer - Simba Sc Parting With Three Players Simba Club have announced to part with three of their players at the same time which are Medie Kagere, Chris Mugalu and Taddeo Lwanga. All the playe…

Today's Newspapers - sports newspaper 2023

Read Newspapers headlines Today here

Yanga Yapata Mamilioni Mengine kutoka CRDB

Clabu ya Yanga Fc Imepata Milioni 25 kutoka kwa Wadhamini wa Wiki ya Yang CRDB "CRDB Bank imechagua Klabu Kubwa💪🏽🔰 @crdbbankplc ➕ 𝗪𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝟮𝟬𝟮𝟮 “𝘉𝘺𝘶𝘵𝘪𝘉𝘺𝘶…

Simba Alamba Dili Juu Ya Dili

"CRDB ni official Simba Day partner." "CRDB wameona ni muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua Simba sababu wanaona ukubwa wa Simba." "Tunawashukuru CRBD kuwekeza kweny…

LIGI KUU BARA - Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Imetoa Ratiba kwa Msimu wa 2022/23

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imetoa ratiba kwa msimu wa 2022/23 ambapo pazia litafunguliwa rasmi agosti 13 (ngao ya hisani ) kisha Agosti 15 michezo ya ligi kuu itaanza rasmi. Swipe 👉🏿 kuona rati…

Kocha Wa Simba Ashabikia Suala la Ratiba Ligi Kuu

Kocha wa Simba, Zoran Maki amesema ratiba ya Ligi Kuu Bara imekuwa rafiki kwao kutokana na kucheza mechi tatu za kwanza katika uwanja wa nyumbani ambao upo na mazingira mazuri haswa eneo la kucheze…

FT: Simba Sc Vs Al-Kholood - Simba Yapata Ushindi

Kikosi cha Simba kimecheza mechi ya mwisho ya kirafiki nchini Misri leo dhidi ya Al-Kholood kutoka Saudi Arabia na kushinda mabao 2-0 yakifungwa na Gadiel Michael na Augustine Okrah. Timu hiyo inatar…

Kocha wa Yanga Nabi Agombaniwa

TETESI: Klabu ya FAR Rabat ya Morocco inamtaka Kocha Yanga SC Nasreddine Nabi kwa ajili kuchukua mikoba ya Sven Vandenbroeck klabuni hapo. Miamba hiyo ya Morocco ipo tayari kumlipa kocha huyo raia wa…

SIMBA YAPATA MABILIONI KUTOKA M-BET

Sehemu Ya Maelezo ya Mkurugenzi wa masoko M-Bet, "M-Bet ni kampuni namba moja ya michezo ya kubashiriki sasa tunashirikiana na klabu namba moja Tanzania." "Tunaamini kama M-Bet tukis…

Yanga Yachagua Meneja na Viongozi Wengine Wapya

Raisi wa clabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said Kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya Yanga imewateua Saada Kawemba Kuwa Mkurugenzi wa Mashindano na Walter  Harson Kuwa Meneja wa Timu.  Tazama Taari…

Simba Sc Kucheza na Al-Kholood Misri

Klabu Simba imethibitisha kuwa itacheza mchezo wake wa nne wa kirafiki Mjini Ismailia, Misri dhidi ya klabu ya Al-Kholood. Simba SC imecheza mechi tatu za kirafiki mpaka sasa Nchini Misri ikishinda m…

USAJILI: MCHEZAJI WA YANGA ASAINI MKATABA MPAKA 2024

Mlinzi wa klabu ya Yanga SC Djuma Shabani (29) raia wa DR Congo amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Mabingwa hao wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara mpaka 2024.

KAONEKA: KAMA NITARUDIA PAMBANO NA MANDONGA, SITAFANYA MAZOEZI

KAONEKA: KAMA NITARUDIA PAMBANO NA MANDONGA, SITAFANYA MAZOEZI Bondia Shabani Kaoneka aliyempiga kwa TKO Karim Mandonga amesema yupo tayari kwa pambano la marudio > Amesema hatafanya mazoezi ili k…

Madonga - Nilipigwa Ngumi Mbili Nikayumba , Nikataka Kuinuka Refa Akamaliza

Baada ya kuchapwa kwa Technical Knock Out, Karim Mandonga ametoboa siri ya kipigo huku akiwaomba mashabiki wake kutorudi nyuma. "Mpinzani wangu alinipiga right (ngumi ya kulia) akaunganisha na…

Yanga Yafunga Magoli 9 huko Avic, Mayele atetema ...

YANGA imecheza mnchezo wa pili wa kuijipima nguvu wakishusha kipigo kizito kwa Friends Ranger wakishinda kwa mabao 9-0. Yanga Katika Ukrasa Wao Wa Facebook wamesema, "Leo asubuhi tumecheza mch…

Sakho Avunja Ukimya, Afunguka Kuhusu Simba

Ikiwa imepita kama wiki tangu kiungo mshambuliaji wa Simba, Pape Sakho atwae tuzo ya Bao Bora kwenye michuano ya Caf. Bao la Sakho liliingia kwenye kinyang’anyiro cha michuano ya Kombe la Shirikisho …

Uzinduzi wa Jezi Ya Simba, Itatengenezwa Ulaya Siyo Asia

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaz Mangungu amesema jezi za timu hiyo msimu wa 2022/23 zitazinduliwa wiki hii na zitatengezwa Ulaya badala ya Asia.

Magazeti ya Leo 31/07/2022 | Magazeti ya Michezo leo

Tazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter