Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Showing posts with the label TFF Tanzania

TFF NA ACT WAZALENDA WAMINYANA - KANUNI MPYA

Kufuatia taarifa ya Bodi ya Ligi juu ya maboresho ya kanuni ambapo imeweka marufuku kwa mchezaji kuingia mkataba binafsi wa udhamini na mshindani kibiashara wa mdhamini mkuu wa Ligi, Chama cha ACT …
Post a Comment

TFF YATOA MAJINA YA WATAKAO CHEZESHA MPIRA NGAO YA JAMII

Waamuzi watakaochezesha mchezo wa Ngao ya Jamii 2022 @yangasc  @simbasctanzania @azamsports2 @ligikuu @nbc_tanzania

RAISI WA FIFA ATUA TANZANIA

Rais wa Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA) Gianni Infantino ametua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kwa kuhudhuria mkutano wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) …

MANARA, "NIMEINGIA KAMA MC WALA SIJIHUSISHI NA MPIRA"

MANARA, "NIMEINGIA KAMA MC WALA SIJIHUSISHI NA MPIRA" Aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Manara amesema ameshiriki kwenye Siku ya Mwananchi kama mshereheshaji (MC) na sio kama mhamasishaji.…

Manara na Raisi wa Yanga Kukiona Cha Moto TFF.

Manara na Raisi wa Yanga Kukiona Cha Moto TFF. TAARIFA: Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said na aliyek…

LIGI KUU BARA - Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Imetoa Ratiba kwa Msimu wa 2022/23

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imetoa ratiba kwa msimu wa 2022/23 ambapo pazia litafunguliwa rasmi agosti 13 (ngao ya hisani ) kisha Agosti 15 michezo ya ligi kuu itaanza rasmi. Swipe 👉🏿 kuona rati…

Mtibwa Sugar Bingwa Tena Ligi kuu U-20

Mtibwa sugar imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa ligi kuu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa msimu huu wa 2021/2022 baada ya kuifunga timu ya Mbeya Kwanza kwa magoli goli 4-1 kwenye mchezo wa fa…

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter