Change Language

Ad Unit (Iklan) BIG

Featured post

Dili la Msuva Kutua Yanga Baba Yake Afunguka Ukweli

Kumekua na tetesi nyingi kuhusu Simon Msuva nyota wa zamani wa Yanga, Akihusishwa na kujiunga na Klabu ya Yanga Sc. Taarifa zilizopo ni kwamba mzazi wa Msuva amesema tetesi za msuva kwenda yanga yeye anazo. Mzazi huyo ambaye ni msimamizi wa staa huyo wa zamani wa Yanga, amekiri kusikia mwanae aki…

Bao la Kwanza la Yanga dhidi ya KMC Ilikua Faulo

"Ushindi wa jana wa Yanga 70% percent umetokana na makosa ya KMC, na Ubora wa Yanga ni kwa 30% percent" "KMC walikuwa na poor defending, tazama Aziz Ki alikuwa hakabwi vya kutosha.. …
Post a Comment

Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania NBC Premier League - 23/08/2023

MSIMAMO:  Mabingwa watetezi, Yanga Sc waanzia nafasi ya nne; Hii ni baada ya Kuifunga KMC Yanga SC 5 - 0 KMC  TAZAMA MAGOLI YOTE HAPA
Post a Comment

Yanga Vs KMC - Highlights ya Magoli Yote

Dakika 45 za burudani zilimalizika katika dimba la Azam Complex, Chamazi, Wananchi wanaupiga mwingi mpaka unamwagika. HT: Yanga SC 1-0 KMC FC ⚽ Job 17' Ni katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanza…
Post a Comment

TFF NA ACT WAZALENDA WAMINYANA - KANUNI MPYA

Kufuatia taarifa ya Bodi ya Ligi juu ya maboresho ya kanuni ambapo imeweka marufuku kwa mchezaji kuingia mkataba binafsi wa udhamini na mshindani kibiashara wa mdhamini mkuu wa Ligi, Chama cha ACT …
Post a Comment

Ratiba Ya Mechi za Leo NBC Premier League - 23/08/2023

Yanga Vs KMC Live 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛𝗗𝗔𝗬🔰 🏆 NBC Premier League  ⚽️ Young Africans SC Vs KMC FC 📆 23.08.2023 🏟 Azam Complex, Chamazi 🕖 1:00 Usiku  Kuelekea Mechi Yetu v KMC Kwenye Head To Head Tangu …
Post a Comment

Siri Ya Yanga na Bruno Ngomezi Yavuja

BRUNO Gomez, ni mingoni mwa wachezaji ambao wapenzi wa Yanga  walitamani kumuona kikosini mwao  msimu huu, chanzo changu ndani ya Singida  FG, kimefunguka kuwa pamoja na watu wa Yanga kumtamani Bru…
Post a Comment

Simba Kufanya Usajili Wa Zimamoto

CHANZO makini kutoka ndani ya Simba kimendokeza kwamba Simba inatarajia kufanya usajili wa ghafla, chanzo hicho kimeeleza sababu ambazo zimewashawishi benchi la Ufundi la Simba kufanya usajili wa k…
Post a Comment

Yanga Yanasa Saini Ya Kiungo Mwingine

Yanga Yanasa Saini Ya Kiungo Mwingine Klabu ya  Yanga SC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo Pacôme Zouzoua raia wa Ivory coast Kutoka Asec mimosas. Pacôme Zouzoua amewasili leo asubuhi nchini Tanz…
Post a Comment

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao

🚨 OFFICIAL & CONFIRMED: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja. Yao (26) 🇮🇪 anahesabika kuwa beki bora…
Post a Comment

Klabu Ya Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma.

... || BREAKING Klabu Ya  Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma. Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma kutoka kwa vigogo wa Sudan, Al Hilal Omdurman…
Post a Comment

Klabu ya Yanga SC imemnunua winga wa AS Maniema, Maxi Mpia Nzengeli

Usajili Yanga SC ◉ Klabu ya Yanga SC imemnunua winga wa AS Maniema, Maxi Mpia Nzengeli (23) kwa USD $ 165,214 (Tsh 400 Million) ◉ Amesaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga  ◉ Maxi …
Post a Comment

Jezi Mpya Za Yanga Msimu Mpya Wa 2023/2024

Kama Ulikua hujaziona jezi mpya za Yanga SC hizi ndio zenyewe.  Mbunifu wa jezi ya Nyeusi ya Yanga SC kwa msimu huu ameeleza maana ya jezi hiyo huku akijikita kwenye Michoro iliyopo, ameeleza kua; Je…
Post a Comment

Breaking: Ukweli Kuhusu Mayele Na Yanga SC

Fahamu ukweli kuhusu mayele kuondoka Yanga Sc Mayele mwenye mkataba wa mwaka mmoja na Yanga amegoma kusaini mkataba mpya ambao ungemfanya awe analipwa pesa ndefu kuliko mchezaji yeyote ndani ya tim…
Post a Comment

Al Hilal Yawashitaki Wachezaji Wanaotajwa Simba SC Azam FC

Al Hilal Wamewashitaki wachezaji watatu waliovunja mkataba ka klabu hiyo bila kufuata utaratibu. Wachezaji waliositisha mikataba hiyo ni Fabrice Ngoma anayehusishwa Simba, Lamin Jarjou akitajwa Azam …
Post a Comment

Mchezaji Aliyesajiliwa Simba Sc ni Mauzauza

Ngoma Siyo kiwango cha simba sc, ni kama Sawadogo tu. "Kwa kiwango cha Fabrice Ngoma na malengo ya Simba nadhani pale wamezika tu pesa zao kama ilivyokuwa kwa Sawadogo,nadhani Simba wangetafut…
Post a Comment

Jinsi ya Jucheza Casino Parimatch Kwa Tsh. 200 na Kula zaidi ya 15,000

Casino ni mchezo mzuri wa kucheza kama unataka hela. Ni rahisi kushinda na hutumia gharama ndogo. Ina sehemu nyingi za kucheza, Unaweza ukacheza nafasi hata 5 kwa wakati mmoja, ukikosa hii unakula ku…

Man City Vs Arsenal Highlights

#EPL Dakika za mwisho kabisa Haaland anaimaliza mechi kwa kuwapachikia Man City goli la 4 dhidi ya Arsenal.  Man City 4-1 Arsenal De Bruyne 7',54'  J.Stones 45+2 Holding 86'  Haaland 90…

mechi za simba club bingwa 2023

mechi za simba club bingwa 2023  Ijumaa hii mnyama @simbasctanzania atakuwa dimba la Mohammed V nchini Morocco kukipiga na Wydad Casablanca katika mechi ya mkondo wa pili robo fainali Ligi ya Mabingw…

Timu ya Simba SC Ikiwasili Casablanca

Matukio katika Picha

Live score

Please Wait While loading Live Scores... latest

NBC - Tanzania Premier League

FcTables.com

TANZIA: MWANA YANGA WAFARIKI

Yanga Wametoa Taarifa ya Shabiki aliyefariki katika ajali.

Wana Yanga Sc Wapata Ajali Leo

Taarifa Kutoka klabu ya Yanga Inasema, "Kuna taarifa za Ajali maeneo ya Msata kwa Mashabiki wetu waliokuwa wakisafiri kuja Arusha kutazama mechi ya kesho.  Tunaendelea kufuatilia kwa karibu, t…

Hawa Ndio Wachezaji Kutoka Timu Mbalimbali Waliochukuliwa na Taifa Stars

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania  kitakachoingia kambini Agosti 21 kwaajili ya mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Uganda
Newest Older

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter